REST IN PEACE LEONARD MAMBO MBOTELA LALA SALAMA 🇰🇪🇰🇪
Uzalendo wake na Sauti yake ya kipekee haiwezi sahaulika . Idhaa ya Taifa ambayo bado ni stadi kwa kazi yake kweli ilikuwa na Bingwa wa maneno,Mkubwa wa mawazo na Kiongozi wa wanahabari humu Kenya na pia Afrika Mashariki. Alitumikia Kenya vizuri sana akihimiza ungwana na mahusiano mema. Siku hazitoshi kuongea juu yake na marehemu wengine ambao walikuwa Mabingwa Ya Swahili kama yeye kama Mzee Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Shariff Nassir na Mzee Mwalimu Ken Walibora.
Mzee Leonard Mbotela , Enda na Yesu Yeshua.
Mwandishi ni Mkurugenzi wa QSTPS
Arthur Owiti /Tendaishe Owiti/Owiti
Comments
Post a Comment