COMFORTING RESPONSE TO BONIFACE MWANGI'S INSTAGRAM POST /INSTAGRAM SONG / INSTASONG / INSTAMUSIC VIDEO MATANGA YA KAHONGO BY JULIANI
Great Song that opens up about frustration of the Youth of Kenya and the pain of being a citizen .. voting yet you have no property ...Freedom is God and what is needed is Money to fuel freedom ...when you are poor you can't go where you want or do what you want so you become sad hence depressed. When you are rich you can go where you want or do what you want hence you are happy hence mentally healthy. The Happiness Index says Africans are sad hence mentally ill .. we need money to treat that illness IMMEDIATELY and our Govt is to provide us with money like our old govts of Africa gave us land as inheritance meaning Africans were happy ...it is possible to restore the glory days as we have stated below
http://qstps.blogspot.com/2025/04/bravo-kwa-nchi-za-wakristo.html
http://qstps.blogspot.com/2025/04/bravo-to-christian-jewishmuslim.html
http://qstps.blogspot.com/2024/06/all-humans-of-world-should-receive.html
http://qstps.blogspot.com/2025/02/wafalme-1027-mfalme-akafanya-fedha.html
So musisahau Mungu alichukua vijana mbinguni kuleta ukombozi wa uchumi...Damu ambayo iliyomwagika 2024 ni Damu ya Yesu ni Damu ya Uhuru inaweza mambo yote. Mambo itafanya nikuleta Uhuru wa Kiuchumi na Mapenzi na Ukombozi wa Kiuchumi na Mapenzi.
Musisahau Mungu anaishi ndani ya wote na ni wote sana sana Muyahudi na wanyonge kama watoto, wanawake, vilema na watu wa jinsia Moja.Hata Mungu ni Serikali na Serikali nikulinda wanyonge kusaidia wanyonge yaani Mungu anafaa kusaidia Mungu. Serikali inachapisha pesa inafaa kupatia wananchi pesa vile Mungu aliyeumba dunia alitupatia dunia tukapanda chakula tukajenga nyumba na tukafanya biashara kwa dunia yake.
Tunapokea ukombozi ambao umetoka mbinguni mahala Washahidi WaGen Z wanakaa baada ya kuuliwa wakio Peponi yaani Mbinguni na Dedan Kimathi, Mwariama, General Mathenge , Jomo Kenyatta, Tom Mboya, Pinto JM Kariuki ,Jaramogi Odinga & Wangari Maathai ,Muthoni, Grace Ogot Orie Rogo na wengineo yaani Team Kenya ya Mbinguni Heavenly Team Kenya. Wanatuona wanatubariki, wanatutembelea wanafanya kazi na Mungu Yeshua Yesu Mfalme wa Amani kukuomboa na kuinua Kenya .
Boniface Mungu ako na wewe na ako ndani yako milele na milele ...Asante kwa kunulisha wa Kenya kwamba shida ya Africa ni Kiuchumi ...tumepata suluhisho yaani Uhuru hata na Damu jameni !!Twasema Amina Safari ulioanza imeisha na Kenya imekombolewa na nikusemezana Na Rais, Wanasiasa na Serikali yetu ambayo tulichagua ...Soma Zaburi 133 .
Blessings Man, Blessings Niggas and Blessings to Jah aka Yah Blessings to Jerusalem and Israel Blessings to Kenya & Africa ...Amen 🇮🇱🇰🇪🇿🇼🇺🇬🇿🇦🇾🇪🇹🇿🇧🇮🇸🇸🇷🇼🇹🇬🇸🇳🇸🇹🇳🇬🇳🇦🇲🇼🇯🇲🇬🇭🇬🇳🇨🇲🇻🇨🇨🇩🇺🇳🇺🇲🏴🇨🇦🇮🇳🇧🇼🏳️🌈🏳️⚧️
Comments
Post a Comment